- Habari, Siasa
- January 16, 2024
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda, Akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari leo tarehe 16 Januari, 2024 katika Afisi kuu ya CCM Kisiwandui ambalo ametoa taarifa ya ziara ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia
READ MORE- Habari, Siasa
- January 16, 2024
DKT. EMMANUEL JOHN NCHIMBI ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM TAIFA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, Akifurahi Pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi leo 15 Januari, 2024
READ MORE- Habari, Kitaifa, Siasa
- January 12, 2024
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Paul Christian Makonda, Ikulu Zanzibar tarehe: 11 Januari 2024. Aidha Katibu Mwenezi Makonda amempongeza Rais Dkt.Mwinyi kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM
READ MORE